Monday, October 14, 2013

HII NDIYO HALI ILIVYOKUWA KWA UFOO SARO BAADA YA KUTOLEWA RISASI MWILINI HAPO JANA.CHEKI PICHA



Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.


Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro, baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.


Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.



Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.

No comments: