Saturday, October 19, 2013

MECHI YA WATANI WA JADI KAMISHNA KOVA ASEMA ULINZI NI ASILIMIA 100

KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM SULEMANI KOVA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
             Jeshi la polisi kanda maalum ya dar salaam limewahakikishia mashabiki wa soka na wapezi wa mpira wa miguu kuwa katika mchezo wa kesho dhidi ya watani wa jadi simba na yanga ni salama na hakutakuwa na ugaidi ama uvunjifu wowote wa amani 

           Akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam kamishna wa kanda hiyo SULEMANI KOVA amesema kuwa jeshi la polisi limejipanga kani na utulivu kama ulivyopangwa,amesema kuwa kamaera za cctv zitakuwa zinafanya kazi ambazo ni zaidi ya 160 zitakuwa zikimulika kila kona ya uwanja nje na ndani ili kuhakikisha kuwa hakuna uhalifu wowote kujitokeza.

            Aidha amesema kuwa kwa wale walinzi wa timu wanaojulikana kuwa ni mabaunsa hawatakiwi kuonekana wakifanya kazi ya ulinzi na badala yake wawaachie polisi kwani ndio kazi yao
WANAHABARI MBALOMBALI WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA

No comments: