Aliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi kwani watu wengi wanakaa barabarani badala ya kufanya kazi.
Monday, November 4, 2013
BAADA YA KUONEKANA MKIMYA SANA BUNGENI LOWASA ANGURUMA BUNGENI LEO,SOMA ALICHOKISEMA AMPONGEZA MAGUFULI NA MWAKYEMBE
Aliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi kwani watu wengi wanakaa barabarani badala ya kufanya kazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment