Msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa baba yake mzazi Mzee
Paul Bukuku baada kuugua kwa muda mrefu. Marehemu amefia katika
Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo
nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment