Sunday, December 8, 2013

SALAM KUTOKA HABARI24 BLOG

       IKIWA LEO NI TAREHE 09 AMBAPO KILA MWAKA WATANZANIA TUNAKUMBUKA SIKU AMBAYO TULIPATA UHURU WA TANZANIA,HABARI24 BLOG NA UONGOZI WAKE WOTE UNAYO FURAHA KUWATAKIA WATANZANIA NA WASOMAJI WETU WOTE MAADHIMISHO MEMA YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA,TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UPENDO,TUNAMPONGEZA PIA RAISI WETU DK JAKAYA KIKWETE KWA KAZI NZURI ANAYOFANYA KUHAKIKISHA KUWA TANZANIA INAFIKA MAHALI PANAPOSTAHILI PAMOJA NA KUWA BADO TUNA VIKWAZO VINGI SANA

        AIDHA TUNACHUKUA NAFASI HII KUWAPA POLE SANA WAAFICA KUSINI NA DUNIA KWA UJUMLA KWA KUPOTEZA MANDELA MUNGU AWE NASI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA MZITO HUU.

No comments: