Bi. Kizee akiwa kwenye gari la polisi
baada ya kuokolewa na polisi kutoka kwa wananchi wenye asila kali mara
tu ya kukutwa kwenye chumba. Mashuhuda wa mwanzo wanasema Bibi huyo
amekutwa akitapatapa bila kujua la kufanya huku mwili wake ukiwa Uchi
na nguo zake zikiwa pembeni kitendo kinachopelekea kusadikiwa kwamba
Bibi huyu ni mchawi wakati wengine wakisema wasubili taarifa ya Polisi.
Polisi wakiondoka eneo la tukio wakiwa na Shuhuda mmoja aliyedai alikuwa miongoni mwa watu waliomkurupusha bibi huyo chumbani.
Wakielekea kituo cha cha polisi cha Bukoba Mjini leo asubuhi.
Bibi huyo akiwa kwenye ulinzi mkali baada ya kufikishwa kwenye kituo kikuu cha polisi mjini Bukoba
No comments:
Post a Comment