| Katibu wa ccm adrahaman kinana akimnadi mgombea wa ubunge ridhiwan kikwete leo |
| mke wa raisi mama salma kikwete ambae ndie ma a mzazi wa mgombea wa ubunge wa jimbo la chalinze ridhiwan kikwete akimnadi mwanae leo |
| Imani madega alikuwa moja kato ya wle waliokuwa wanagombea kupata nafasi ya kugombea ubunge jimboni challinze leo aliijitokeza kumnadi ridhiwan kikwete |
| imani madega na ridhian kikwete wakipongezana |
| ridhiwan akimwaga sera mbele ya maelfu ya wanachalinze |
| Kinana ambaye ni katibu mkuu wa ccma akimpigiua kampeni mgombea wa jimo la chalinze ridhiwan kikwete huko chalinze leo |
No comments:
Post a Comment