Habari24 leo ilifanikiwa kunasa juhudi za jeshi la polisi katika kuwaondoa bodaboda ndani ya jiji la dar es salaam ambapo picha za juu zinaonyesha walivyokuwa wanakusanywa muda mfupi uliopita katikati ya jiji,hatua hiyo inakuja kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa wa dar es saal said meck sadick la kutaka bodaboda kutoingia ndani ya jiji na badala yake waishie nje ya jiji |
No comments:
Post a Comment