Mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Mathayo Thorongey akivishwa mgolole na ijana wa
kiongozi wa kimila wa Wamasai (Laigwenani), Almasi Jani, wakati wa
tambiko maalum la kimila kumatakia ushindi mgombea huyo, lililofanyika
mjini Chalinze |
No comments:
Post a Comment