Monday, April 14, 2014

CHUKUA MUDA WAKO KUSOMA SENTENSI HII YENYE UTATA KUHUSU MUUNGANO ALIYOITOA TUNDU LISU LEO BUNGENI

Tundu Lissu: 'Tanganyika iliuwawa na amri za Mwalimu Nyerere na hakuwa na mamlaka kisheria ya kuiua, nchi hii ni haramu, nusu karne ya uongo iishe'
'Hatujawahi kuwa nchi moja, habari ya Tanzania kuwa nchi moja iliingizwa ktk katiba miaka 20 baada ya muungano, miaka 50 ya kudanganyana ikome, nchi hii inahitaji kuelezwa ukweli'
Una chochote cha kuchangia kwenye hili?


No comments: