Saturday, April 12, 2014

HABARI INAYOENDELEA--MAFURIKO DAR-KARIBU JIJI LOTE LIPO JUU YA MAJI,JIONEE

Mburahati na Mayfair leo asubuhi

Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.

Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito.

No comments: