Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania kwa kushirikiana na ROSA LUXEMBURG FOUNDATION leo wamezindua kitabu cha urani na mazingira 2014. Akizindua kitabu hiko leo mgeni rasmi bi MOHFAUDHA HAMID ambaye ni makamu mwenyekiti wa Tume ya haki za binadamuna utawala bora amesema kuwa Tanzania lazima itafakari kwanza maamuzi yake ya kuchimba madini ya urani kwani madini hayo yana madhara kwa binadamu wanaozunguka madini hayo kitabu hiko kimeainisha mambo yote ambayo ni madhara ya kimazingira na kiuchumi yatokanayo na madini hayo endapo yatachimbwa. |
No comments:
Post a Comment