Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu i akihutubia wananchi wa Kijiji cha Kaoze, kilichopo mwambao wa Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa wakati alipowasilini kijijni hapo kuendelea na ziara ya siku 5 katika vijiji mbalimbali mkoani humo ukiwa ni mwendelezo wa ziara iliyopewa jina la Operesheni Delete CCM
|
No comments:
Post a Comment