Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi
(UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani)
pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi
wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani
Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande
wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita
katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.
Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa UVCC - Bara,Mfaume Kizigo na Kulia ni Mkuu wa Idara ya
Oganaizesheni ya UVCCM,Zainab Katimba |
No comments:
Post a Comment