meneja mkuu wa micro mobile divice kwa africa mashariki bi MARIAM ABDULAH (kushoto) pamoja na Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE wakionyesha aina ya simu ambazo wameziingiza katika soko la tanzania kwa sasa. |
Kampuni ya MICROSOFT ambayo imekuwa ikitoa simu zenye ubora mkubwa barani africa leo imeingiza simu mbili bora katika soko la tanzania ambapo leo wametangaza kuingiza simu mbili ambazo ni LUMIA 435 na 532 ambazo zimetajwa kuwa bira katika ulimwengu wa smartphone Tanzania.
Akizungumza na wanahabari mapema leo wakati wa uzinduzi wa simu hizo meneja mkuu wa micro mobile divice kwa africa mashariki bi MARIAM ABDULAH amesema kuwa simu zinazotolewa na kamopuni hiyo simu bora ukilinganisha na simu zilizopo sokoni kwa hivi sasa ambapo kumekuwa na wimbi kubwa la simu za aina hiyo nchini.
Amesema kuwa wameshukuru sana kwa watanzania kuwapokea vizuri na bbidhaa hizo ambapo ameahidi kuendelea kutoa huduma zenye ubora unaolingana na gharama halisi za simu hizo
Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE akizngumza na wanahabari wakati wa uzinduzi huo. |
Naye Meneja wa bidhaa wa micro divice kwa afrika mashariki bwana KINGORI GETAHE akielezea ubora wa simu hizo mbili amesema kuwa simu bhizo zimekuwa bora na zenye uwezo mkubwa sana katika maswala ya mtandao ambapo amesema kuwa ni tofauti na simu nyi ngingine zilizozoeleka ambapo simu hizo zina uwezo wa kufanya shughuli nyingi ikiwemo kufanya kazi kama za TYPING na kazi nyingine ambazo zimekuwa zikifanyika katika computer.
Baadhi ya wadau ambao wamejitokeza katika uzinduzi huo |
KWA SIFA NA UBORA WA SIMU HIZO NA BEI HALISI ILI UJIPATIE YA KWAKO BOFYA CHINI HAPO
Most affordable Microsoft Lumia arrive in Tanzania
Two new Microsoft Lumia
smartphones, the Microsoft Lumia 435 and Microsoft Lumia 532, are now available
inTanzaniafor Tshs200,000 and Tshs 240,000 respectively.The Lumia 435 is the
most affordable Lumia yet, with core smartphone features, the best Windows
Phone experiences and access to the latest apps.The Lumia 435 opens up the Windows Phone experience to even more people,whileLumia
532 is a powerful quad core smartphone that builds on the success of the Lumia
530.
With a premium layered design, glance screen, front facing camera and more
memory, the Lumia 532 enables people to achieve their goals with the best of
Microsoft’s experiences:
·
Switch
effortlessly between voice and video calls with built-in Skype integration and
a front-facing camera.
·
Read,
review, edit and share on the go with the full suite of Microsoft Office on
Windows Phone preinstalled.
·
Keep
your photos, videos and Office documents safely backed up with 30 GB of free*
OneDrive cloud storage.
Easily
manage work and personal emailon the fly, with Microsoft Outlook.
·
Capture
photos quickly and easily with Lumia Camera and take, edit and share great
selfies with the front-facing camera and Lumia Selfie app.
Have
your home screen your way with Windows Phone 8.1 and the Lumia Denim update,
complete with one-swipe Action Centre, Word Flow and Live Folders.
Stay
up-to-date with the best new features through regular Windows updates.
“The Microsoft Lumia 435 and Lumia 532 show our
commitment to bring Windows smartphonesto as many people as possible. Both
devices are fantastic for those moving to a smartphone for the very first
time”, notesMariam Abdullahi General Manager, Microsoft Mobile Devices East
Africa.
Tech specification
summary:
Lumia 435 Dual SIM
|
|
Operating
system
|
Windows
Phone 8.1 with Lumia Denim
|
HERE location
services
|
Free
global HERE Maps and HERE Drive+
Free
HERE Transit available in the Store
|
Display
|
4”
WVGA LCD 800x480 pixels screen
|
Battery
|
1560 mAhbattery
|
Processor
|
1.2
GHz dual-core Qualcomm Snapdragon 200 processor
|
Main camera
|
2
MP FF, Lumia Camera
|
Front facing
camera
|
VGA
|
Memory
|
8GB
+ 30GB free OneDrive, micro SD up to 128GB
|
Dimensions
|
118.1 x 64.7 x 11.7mm
134.1g
|
Lumia 532 Dual SIM
|
|
Operating
system
|
Windows
Phone 8.1 with Lumia Denim
|
HERE location
services
|
Free
global HERE Maps and HERE Drive+
Free
HERE Transit available in the Store
|
Display
|
4”
WVGA LCD 800x480 screen
|
Battery
|
1560 mAhbattery
|
Processor
|
1.2
GHz quad-core Qualcomm Snapdragon 200 processor
|
Main camera
|
5
MP FF, Lumia Camera
|
Front facing
camera
|
VGA
|
Memory
|
8GB
+ 30GB free OneDrive, micro SD up to 128GB
|
Dimensions
|
118.9 x 65.5 x 11.6mm
136.3g
|
-
Ends –
About Microsoft
Devices
The Microsoft Devices
Group includes award-winning hardware used by over a billion people around the
world, including Lumia smartphones and tablets, Nokia mobile phones, Xbox
hardware, Surface, Perceptive Pixel products, and accessories.
No comments:
Post a Comment