Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa amebebwa na wananchi wake
baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mji
Mdogo wa Mwandiga, katika mkutano huo Zitto alikuwa akiwaaga wananchi
wake kuwa hatogombea ubunge kupitia jimbo hilo. |
No comments:
Post a Comment