Monday, March 23, 2015

TIGO YACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA MAKUNDI YASIYOJIWEZA KANDA YA ZIWA



Meneja Masoko wa Kanda ya Ziwa wa Kampuni ya Tigo Ali Mashauri, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza
mwishoni mwa wiki,kuhusu kuungana na Shule ya Kimataifa Isamilo ya jijini Mwanza kusaidia watoto wenye kansa.


Kikundi cha muziki cha i82 kutoka Shule ya Kimataifa ya Isamilo jijini Mwanza,wakiimba juzi usiku wakati wa hafla ya
kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa Mkoani Mwanza mpango huo ulifadhiliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo.


Mashabiki wa kikundi cha muziki cha i82 cha Shule ya Kimataifa Isamilo ya jijini Mwanza,wakifurahia nyimbo mbalimbali juzi usiku,wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa.


Mwanafunzi wa Shule ya Mwanza Sekondari Emmanuel Muabe,akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,kuhusu mafunzo anayoyapata kwenye Shule ya Kimataifa Isamilo,ambapo Kampuni ya Tigo inawawezesha wanafunzi kuandaa michezo mbalimbali ya kukusanya pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa.


Wanafunzi wa Shule ya Isamilo International ya jijini Mwanza na wanafunzi wa Shule za Kata,wakifundishwa kuogelea.

Mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Kimataifa ya Isamilo  jijini Mwanza,akiimba juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa Mkoani Mwanza mpango huo ulifadhiliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo.

Mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Kimataifa ya Isamilo  jijini Mwanza,akiimba juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa Mkoani Mwanza mpango huo ulifadhiliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo.


Mwanafunzi wa Nyamanoro Sekondari Pendo Kuzenza,akichora jijini Mwanza jana,ambapo ameapata  mafunzo  kwenye Shule ya
Isamilo International,ambapo tigo inawawezesha wanafunzi kuandaa michezo mbalimbali ya kukusanya pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa.

No comments: