Saturday, March 14, 2015

TIZAMA NAPE,LOWASA NA KINANA WALICHOKIFANYA HUKO MONDULI JANA

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa wakati alipowasili katika eneo la mapokezi Makuyuni Monduli mkoani Arusha akianza rasmi ziara ya mkoa huo baada ya kumaliza ziara kama hiyo mkoani Dodoma.
2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa viti maalum kupitia CCM Ndugu Namelok Sokoine wakati alipowasili katika mji wa Makuyuni wilayani Monduli. 4Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Manyara Ndugu Joel Bendera wakati wa mapokeizi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Galawa, Mbunge wa jimbo la Babati vijijini Mh. Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon na Mkuu wa wilaya ya Babati Ndugu Chrispin Meela.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa Greenguard mara baada ya kuwasili wilayani Monduli, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika mji wa mji wa Makuyuni wilayani Monduli.8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa, Kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi mbalimbali waliofika kumpokea katika mji wa makuyuni wilayani Monduli.10Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa Tanesco mkoani  katika kijiji cha Lolkisale wilayani Monduli mkoani Arusha wakati msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ulipowasili kijijini Hapo. 11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha umeme katika kijiji cha Lolkisale ambao  umesambazwa na REA Mamlaka ya Umeme Vijijini.12Baadhi ya akina mama wa kimasai wakiwa katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha Lolkisale.13Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na waganga na wauguzi wa hospitali ya wilaya ya Monduli.14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa wakisikiliza taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo.15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa na waziri Mkuu wa zamani wakishiriki kazi ya kupaka rangi katika jengo la hospitali ya wilaya ya Monduli.16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa na waziri Mkuu wa zamani wakishiriki kazi ya kutengeneza sakafu katika maeneo muhimu ya njia za kupita wagongwa  hospitalini hapo. 17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi huku  mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa na waziri Mkuu wa zamani, akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwasalimia waganga na waugunzi wa hospitali ya Wilaya  ya Monduli18Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua jengo la kitegauchumi la CCM mjini Monduli.19Mbunge wa viti maalum kupitia CCM mkoani Arusha Namelok Sokoine akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea Ndugu Kinana.20Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM Mkoani Arusha Mh. Catherine Magige akisalimiana na wananchi.21Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kupalilia mpunga wakati alipotembelea na kukagua mashamba ya Mpunga  Mahande.22Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kupalilia mpunga wakati alipotembelea na kukagua mashamba ya Mpunga  Mahande.23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwashuri katika jambo wakulima wa mpunga mara baada ya kushiriki kazi ya kupalilia mpunga wakati alipotembelea na kukagua mashamba ya Mpunga  Mahande.24Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa na waziri Mkuu wa zamani akisalimiana na wananchi katika mkutano huo.25Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh. Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika Mtowambu wilayani Monduli.26Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Mtowambu27Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.28Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa akizungumza jambo na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye.29Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Loawassa akijadili jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

No comments: