Mnyika
ametoa tuhuma hizo dhidi ya Zitto asubuhi hii kupitia akaunti yake ya Twitter
na kumtahadharisha Zitto kuwa atamchukulia hatua Kali za kisheria kwa kupitosha
mazungumzo ya Mnyika na familia ya Mwalimu Nyerere.
Sasa hivi imebainika kuwa ni vita kamili baina ya Zitto na Mnyika hasa baada ya
kubainika tetesi kuwa Zitto anagombea jimbo la Ubungo ambalo liko chini ya
Mnyika hivi sasa.
No comments:
Post a Comment