Monday, May 4, 2015

WAMBURA AKABIDHIWA MILIONI MOJA YA UCHEZAJI BORA WA MWEZI WA PILI NA VODACOM JANA.

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura  baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu,kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana,Picha kwa hisani ya Coastal Union.

No comments: