Friday, June 5, 2015

CHADEMA YAFANYA KUFURU ARUSHA TIZAMA HII



Wabunge Wa Chadema wakiwa kwenye ofisi za kanda kwaajili ya uzinduzi wa Kampeni za kuhamasisha uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika mikoa ya kanda ya kaskazini

Hapa nimekuwekea picha za mkutano mkubwa ambao ulifanyika katika viwanja vya tukutane viwanja vya ngarenaro Jijini Arusha jana jioni na kuhudhuriwa na maelfu ya wana Arusha na viongozi mbalimbali wa chama hicho




























No comments: