Wednesday, June 3, 2015

TIGO YADHAMINI TAMASHA LA MNAZI MKINDA 2015



Picha tatu za juu zikiwaonyesha wanafunzi wa shule ya msingi upanga iliyopo Jijini Dar es salaam wakifanya gwaride kama moja ya burudani katika Tamasha hilo la Mnazi Mkinda lililofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Jijini Dar es salaam na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ta TIGO Tanzania.

Meneja Mawasiliano kutoka Tigo,Bwana John Wanyancha akiwa pamoja na wageni wengine waliohudhuria katika Tamasha hilo la Mnazi Mkinda lililofanyika Jijini Dar es salaam na kudhaminiwa na TIGO Tanzania

Meneja Mawasiliano kutoka Tigo,Bwana John Wanyancha akiwahotubia wananchi waliojitokeza katika Tamasha la Mnazi Mkinda lilofanyika katika ta  Viwanja Vya Mnazi 

Vikundi mbalimbali vikitumbuiza katika katika Tamasha la Mnazi Mkinda lilofanyika katika ta  Viwanja Vya Mnazi 

Washiriki mbalimbali wa Tamasha hilo wakifurahia burudani iliyokuwa inatolewa na vikundi mbalimbali vya sanaa katika viwanja hivyo wakati wa Tamasha la Mnazi Mkinda

Wanafunzi wa shule za msingi kutoka katika shule mbalimbali za Jiji la Dae es salaam wakiwa wanashangilia katika Tamasha hilo wakati shughuli mbalimbali zikiendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam


No comments: