Monday, June 1, 2015

TIGO YAFUNGUA DUKA LILILOKARABATIWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akangalia bidhaa zilizomo ndani ya Duka la Tigo mara baada ya kuzindua duka hilo, kulia kwake anayetoa maelekezo ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akibadilishana mawazo na Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Tigo wakifuatilia kwa makini hotuba ya mkuu wa wilaya.

Meneja wa Mifumo ya Kibiashara na Mawasiliano wa Tigo Bi. Halima Kasoro akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Temi Jijini Arusha Bi. Irene Joshua Ndosi wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo.

Meneja wa Ubora huduma kwa Wateja wa Tigo Bi Mwangaza Matotola akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Levolosi Jijini Arusha Bi.Ester Maganza wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo.

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye (katikati) akipokea zawadi toka kwa Mwangaza Mtotola na Halima Kasoro

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akikata utepe kuzindua Tawi la Kampuni ya Tigo mjini Arusha,wanaoshuhudia kulia ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe na kushoto ni Mwangaza Matotola, Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo.

No comments: