Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akiwasalimia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Arusha jana kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.
|
No comments:
Post a Comment