Watoa huduma kwa wateja wa Kampuni ya Tigo wakiendelea na huduma zao kwa wateja waliohudhuria kwa wingi banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.
Msanii wa bongo fleva Shilole, alikuwa mmoja kati ya waliohudhuria banda la Tigo kwenye maonesho wa kimataifa ya sabasaba jijini Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment