Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kituo
cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke
|
Katibu wa kituo cha watoto yatima cha Al-Madrasat Nurhud,
Ustadhi Ukese Said akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari
|
Baadhi ya wafanyakzi waTigo na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda
cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu.
|
No comments:
Post a Comment