Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida kwenye dua ya pamoja. |
Wahuduma wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa. |
Waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo Mkoani Singida |
No comments:
Post a Comment