Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 16, 2015 alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment