|
Asubuhi ya leo kumeamka na story nyingi sana zikiwemo pia za mh LOWASA kuanza mazungumzo na mwenyekiti wa CHADEMA FREMAN MBOWE kwa ajili ya kujiunga nao,habari ambazo zimeanza kuenezwa na account ya facebook inayohisiwa kuwa ya msemaji wa chama kipya cha ACT wazalendo zinasema kuwa mazungumzo hayo yanafanyika kwa ajili ya mh LOWASA kujiunga na chama hicho.Baada ya taarifa hizo kuenezwa naye msemaji wa CHADEMA akaibuka na kuzikanusha mara moja kwa kile alichosema kuwa ni uzushi na hazina ukweli, Mimi kazi yangu kukusogezea yote yanayoendelea na tunafwatilia zaidi kujua kweli |
Kesho wakati wowote Edward Lowasa atarudisha kadi ys CCM na atajiunga na Chadema ikiwa mazungumzo yaliyoanza leo na yanayoendelea sasa baina yake na mwenyekiti wa chama hicho yatafikia muafaka
No comments:
Post a Comment