Tuesday, August 25, 2015

Tizama mizunguko yoote ya lowasa leo Tandale na Kwingine

"Uongozi usioyafahamu matatizo ya Watanzania kiundani hauna uhalali wa kuelezea suluhisho la matatizo hayo. Tumechoshwa na aina ya uongozi wa kuletewa ripoti maofisini, na Leo tumeendeleza ziara ya kuwatembelea wananchi na kusikia kero zao Za msingi. Tukutane Jangwani Jumamosi hii ya tarehe 28.8.2015 tuweze kuwaeleza namna tulivyojipanga kufanya ukombozi wa kiuchumi. Tuko Tayari kwa mabadiliko"-Edward Ngoyai Lowassa




 








 


 

 
 
   

No comments: