Mgombea Urais wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA siku ya leo alikuwa anapiga TWO in ONE ambapo alifanya mkutano Kahama Shinyanga katika viwanja vya Stendi mpya, toka asubuhi Kahama ilisimama kwa muda leo wakimsubiri Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, Jumatatu 14/09/2015.Hapa kuna picha kadhaa za matukio mbalimbali ya mikutano hiyo |
Umati mkubwa wa watu wakimsikiliza Lowasa |
Edward Ngoyai Lowassa na James Lembeli wakikabidhiwa mkuki,upinde,mshale na usinga na wazee wa Kahama kuonyesha wao ni viongozi - Kahama leo Jumatatu 14/9/2015
Mgombea urais wa UKAWA Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais ataanzisha benk maalumu kwa ajili ya kusadia makundi maalumu yaliyosahaulika likiwemo la wachimbaji wadogo wa madini, mama lishe, na bodaboda na wamachinga.
Kabla ya kufika Shinyanga mjini Mh Lowasa alifanya mikutano katika jimbo la Kishapu, Solwa, na Kahama, ambapo baada ya kupata mapokezi ya kishindo alianza kumwaga sera na kufafanua jinsi atakavyo zitekeleza.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mgeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokelewa na Mwenyeji wake, Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama, leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kahama.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni wa hadhara wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mwanasheria wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, akihutubia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Sehemu ya Umati wa wananchi wa Mji wa Kahama, wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi Wagombea wa Udiwaki wa Kata mbalimbali za Kahama, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea mfano wa funguo yenye ujumbe wa "Mabadiliko", kutoka kwa Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwa ameinua juu mfano wa funguo.
Mdau akijipoza kwa maji wakati akiwa kwenye Mkutao wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015
Mama Regina Lowasa Ndani ya Solwa,Shinyanga Leo.Aliamua kupita mitaani kuzngumza na watanzania wa huko kubadilishana nao mawazo na kujua mambo yanayowasibu kwa undani,jambo ambalo liliwavutia watu wengi kumsikiliza pale alipokuwa anazungumza nao
No comments:
Post a Comment