Wednesday, September 16, 2015

Viongozi wa Kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA).

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.

No comments: