"Wakulima wetu wanatumia nguvu nyingi na masaa mengi kazini na kuishia kuvuna mazao kidogo na kupata bei ndogo wanapoyauza, Jitihada nyingi zimefanyika tangu uhuru kuhusu swala hili. Ila bado linahitaji suluhisho la kudumu. Nawatia moyo wakulima kuendelea kufanya kazi kwa bidii . Leo nimepata fursa ya kusimamishwa na wakulima wachache wa eneo la Dumila na kuwasalimu. Nawashukuru sana".-Edward Ngoyai Lowassa |
No comments:
Post a Comment