Story na Izack Magesa
Balaza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya TEMEKE,wamefanya ziara yakukagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa katika manispaa hiyo
Akizungumza hii leo wakati wa ziara hiyo mstahiki meya wa
manispa ya Temeke,ABDALAH CHAUREMBO, amesema wameweza kutekeleza miradi
mbalimbali ya manispaa hiyo kwa asilimia kubwa mpaka sasa hivyo wameweza
kutumia zaid ya BILLION TATU za mapato ya ndani katika kutengeneza barabara,shule
na zahanati za manispaa hiyo.
“tumeweza kuboresha huduma ya afya kwakujenga jengo la huduma
kwa mama na mtoto,mfano ukiangalia ukonyuma wakinamama wajawazito
walikuwa wanalala wawili mpaka watatu kwenye kitanda kimoja kwa idadi ya
wagonjwa themanin mpaka mia moja(80-100) ivyo tatizo ilo kwasasa litakuwa
histolia”amesema CHAUREMBO
Pia CHAUREMBO,amepongeza ukusanyaji mzuri wa mapato katika
manispaa hiyo, ivyo amewataka wakuu wa idara mbalimbali katika manispaa
hiyo kutokaa tu namirad ya maendeleo maofisin mwao bila tija bali
wametakiwa kifanyia kaz kwa wakati ili wananchi wa manispaa hiyo wapate
maendeleo
Akizungumza, DOCTAR,mkuu wa manispaa temeke,AMANI MARIMA
amesema wameanzisha mfumo mpya ya kielotroniki katika hospital hiyo,ambayo
inatolewa na bank ya (CRDB) ambapo mteja ulipa katika bank hiyo kulingana na
huduma ya afya anayo itaka, Hivyo kusaidia kupunguza foleni ya wagonjwa
hospitalin hapo
AIDHA, MKURUGENZI,wamanispaa ya Temeke PHOTIDAS KAGIMBO
amesema wameweza kutekeleza mirad mingi katika manispa hiyo kwa asilimia kubwa
kwa kujenga shule nyingi nakuweza kuvuka lengo la serikali kwa kuongeza
idadi ya shule za sekondari zinazoanzia kidato cha kwanza mpaka kidato
cha sita ikiwemo shule ya sekondali TEMEKE,ambapo wameweza kuongeza
kidato cha tano hadi cha sita,hivyo
amewaomba madiwani hao kutoa ushirikiano kwao katika kulipeleka garudumu la
maendeleo mbele
No comments:
Post a Comment