Tuesday, March 8, 2016

DC MAKONDA ASEMA ANAMPANGO WA KUTENGA ENEO MOJA LITAKALO JENGWA BAR ZOTE WILAYA YA KINONDONI

“Kinondoni nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda.

No comments: