. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheik Tahir Mahmoud aliyemtembelea pamoja na viongozi wenzake Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Jumuiya hiyo nchini Sheik Tahir Mahmoud.
No comments:
Post a Comment