Sakata la wabunge kadhaa wapatao Saba wa vyama vya upinzani kusimamishwa kushiriki shighuli za bunge linaendelea kugusa hisia za watanzania ambapo sasa ni zamu ya vyama vya siasa ambavyo wabunge wao wamekumbwa na sakata hilo.
Vyama vya upinzani kwa umoja wao kila kimoja muda huu wametangaza kuandaa mapokezi makubwa kwa mikoa zaidi ya mmine Tanzania kuwapokea wanaowaita mashujaa wao ambao wamesimaishwa kuingia bungeni kwa Vipindi Tofauti,
Katika taarifa zilizotoka wa muda huu ambazo zote zimesainiwa na Uongozi wa chama cha ACT WAZELENDO kama wahusika wakuu katika mapokezi hayo imeeleza kuwa mapokezi hayo yafanyika kwa lengo la kuwapokea wabunge na viongozi wao waliofukuzwa bungeni kwa kosa la kudai Bunge liwe Live nchini. Nimekuwekea baadhi Ya taarifa zao hapa. |
No comments:
Post a Comment