Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo,Zitto Kabwe akifafanua jambo kwa wageni wake kutoka chama cha kijamaa cha Die Link kutoka nchini ujerumani ujumbe wa chama hicho hapa nchini umeongozwa na Dk Dagmar Enkelman ambaye ni mbunge wa zamani wa ujerumani(picha kwa hisani ya ACT wazalendo) |
No comments:
Post a Comment