Friday, June 10, 2016

HABARI NYINGINE NJEMA KUTOKA HABARI24 TV

Habari njema kwa wasomaji wa Mtandao wenu wa HABARI24 BLOG kwa sasa habari zetu zitakuwa zikipatikana kupitia njia pia ya VIDEO ambapo HABARI24 TV itajitahidi kukupa habari hizo bila chenga.Tunashukuru sana kwa kwa ushirikiano wenu mnaoendelea kuonyesha kwa Mtandao wetu.Mungu awabariki sana.

No comments: