Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na ujumbe wake leo amewasili mjini Washington DC kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi nchini Marekani.
Ziara hiyo itaanza rasmi Jumatatu, tarehe 13 Juni kwa kushiriki mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies (CSIS) kujadili matokeo na matukio ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015 na nini unapaswa kuwa mwelekeo baada ya ubakaji wa demokrasia uliofanywa.
|
No comments:
Post a Comment