Picha: Lowassa afuturisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amefuturisha baadhi ya wakazi waishio katika jiji la Dar es salaam akiongozana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na viongozi mbalimbali wa Chadema.
No comments:
Post a Comment