Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa
Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wengine katika
picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi watatu kutoka
(kulia), Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojiana Mafunzo ya Ufundi Profesa
Joyce Ndalichako wanne kutoka (kulia) watatu kutoka kushoto, Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Profesa Rwekaza Mukandara wanne kutoka (kushoto), Mtendaji mkuu wa
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga wakwanza (kulia)
Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Joseph Nyamhanga
wakwanza kushoto. |
No comments:
Post a Comment