MAJALIWA AENDA OFISINI KWAKE DODOMA KWA MGUU

ofi1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu  kutoka makazi  yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake   barabara ya Reli mjini Dodoma .  Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
ofi2ofi3

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.