Wednesday, February 22, 2017

Law schoool wamtembelea dkt Mwakyembe ofisini kwake mjini Dodoma


Mwenyekiti wa Bodi ya Uendeshaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (Law School) Bw.Gerson Mdemu na Katibu wa bodi hiyo Dkt. Zakayo Lukmay wamemtembelea Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe Ofisini kwake mjini Dodoma na kuzungumzia mambo mbali mbali juu ya Taasisi hiyo ya mafunzo ya vitendo kwa wanasheria nchini.
Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Katibu MKuu Prof. Sifuni Mchome


No comments: