Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere Madie, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya SportPesa Super Cup, iliochezwa jana Juni 8, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru jijjini Dar es Salaam. Katika Mchezo huo Gor Mahia waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kutinga fainali za mashindano hayo. Fainali ya michuano hiyo inatarajia kupigwa siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru.Picha kwa hisani ya Montage Ltd
|
No comments:
Post a Comment