Katika kupiga picha, mwanga una nafasi ya msingi
na unaweza kuleta utoofauuti kati ya
picha nzuri na isiyo nzuri.
Mara nyingi watu wamekua wanachanganya kati ya
picha iliyopigwa simu na ile iliyotengenezwa kwa kompyuta kutokana na mwanga
wa picha hizo.
Moja kati ya Simu nzuri zilizoko sokon inaywezesha
kupiga picha na kumridhisha mtumiaje ni Tecno Camon CX Limited Edition. Kamera
ya nyuma ya simu hii inakuja ikiwa na uvumbuzi wa kuwekewa ringi
iliyojazwa flashi, uvumbuzi huu unaleta
matokeo mazuri kwani unaweza kunyonya giza na kutoa picha zilizo na
mng’aro wa asilimia 40 zaidi kuliko picha za kamera za simu zingine.
Tecno Camon CX Manchester City limited Edition ina flashi ambazo ni laini kwa asilimia 200 hivyo inasaidia picha inayopigwa
kwa simu hii kutoka na mng’aro wa
uhakika, rangi na pia kutokua na matokeo
ya vidoti vyekundu katika macho picha itakapopigwa na simu hii. Kamera ya simu inakuja na
teknolojia maalumu ya “4 in 1” Teknolojia hii inawezesha picha
kua ang’avu Zaidi kwa asilimia 30.
Kamera ya Mbele ya Simu hii ya Tecno Camon CX
Manchester City Limited Edition inakuja na flashi mbili za mbele katika mstari ,
flashi hizi zinasaidia picha zinazopigwa
katika mwanga mdogo au mazingira yanayoendana na hayo zitooke zikiwa na
zinaonekana vizur, hivyo watumiaji wa
kamera hii maarufu kama wapenda “selfie”
watapata kile kilicho bora.
Kwa ujumla inajulikanna kama ni ngumu kupata
picha zilizo katika ubora katika mazingira ya usiku hata hivyo Cammon CX Manchester City Limited
Edition imetengenezwa kuweza kukabiliana na changamoto za aina hizi. Ringi
yenye flashi nne kwa nyuma inakuja ikiwa na kamera moja kwa moja.
Watumiaji wa simu hii hawatakiwi
kuogopa kudhani watahitaji elimu kubwa ya jinsi ya kutumia kamera na flashi
zake katika kupiga picha kwa kutumia simu hii, flashi mbili za mbele na nne za
nyuma zilizo katika ringi maalumu zitahitaji kuwashwa tu na mtumiaji pale
anapoona mwanga ni hafifu eneo alilopo mengine kamera ya simu
No comments:
Post a Comment