Monday, August 7, 2017

Wateja Wafurahia Promosheni Kabambe Maduka yote ya Tigo nchini Msimu huu wa Tigo Fiesta Vibe Kama Lote

Wakaazi wa Itundu mjini Songea wakiangalia simu mbalimbali kwenye duka la Tigo lililopo mtaa huo. Katika msimu huu wa Tigo Fiesta wateja wa Tigo wanapata bonasi ya hadi GB 2 baada ya kununua simu aina ya Tecno S2, R6 na ZTE-KISS 3 katija maduka yote ya Tigo nchini.
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Neema Sammy akimkabidhi mteja, Otimary Kapinga simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo


Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea William Nombo akimkabidhi mteja, Jordan Maneno simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu aina ya Tecno R6.

Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Water Newton akimkabidhi mteja, John Komba simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo aina ya Tecno S2


Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Johnson Chikawe akimkabidhi mteja, Bosco Haule simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo 


Wateja wa Tigo walionunua simu aina ya Tecno S2 Tecno R6 na ZTE-KISS 3 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kupewa zawadi zao za tiketi kuhudhuria tamasha la Tigo Fiesta litalofanyika kesho uwanja wa Majimaji.

No comments: