Friday, September 8, 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afunguzi wa Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mohmoud akiwa na Waziri wa Fedha wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip I Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum na Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Seleh wakisubiri kumpokea Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika kuzungumzia udhibiti wa Utakatishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kufungua Mkutano wa Kimataifa wa kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Africa unaofanyika Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dkt. Philip I Mpango alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Afisa wa Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Saleh, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beachu Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa baada ya kuingia katika ukumbi wa mkutano kufungua Mkutano wa Kupiga Vita Utasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha wa Zimbambwe Hon. Patrick Chinamasa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro kushoto Waziri wac Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango , Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. 
Ujumbe wa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa wa kwanza Waziri wa Sheria Katiba na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.
Mawaziri wa Fedha wa Nchi Wanachama wa Taasisi ya Kupambana na Utakasishaji wa Fedha Haramu kutoka Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa. 
Waziri wa Fedha Uchumi na Maendeleo wa Zimbabwe Hon. Patrick Chinamasa akitowa maelezo wakati wa Mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki Kusini Mwa Afrika wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 34th kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.  
Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango akitowa maelezo na kuzungumza kuhusiana na mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupiga vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk/ Ali Mohamed Shein, wakati akifungua mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha.
Ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia.
Waziri wa Fedha wa Lesotho Hon. Moeketsi Majoro akitowa neno la shukrani baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afraka baada ya kuufungua mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi hizo 18 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com. 

No comments: