Thursday, September 7, 2017

VIDEO - WAJASILIAMALI WALEMAVU NA WASIO NA ULEMAVU KUPEWA NAFASI KWENYE TAMASHA ...

Katika kufuata misingi ya jinsia na kuangalia mikataba ya Kimataifa na ya Kikanda inayotaka watu wote wawe na fursa sawa katika harakati za kujitafutia maendeleo na asiachwe mtu hata mmoja nyuma.

Kwa kuliona hili TGNP Mtandao imetoa fursa sawa katika maonyesho ya mwaka huu kwa kuwakutanisha wajasiliamali toka mikoa mbalimbali walio wazima na walemavu, wakike na wakiume ili kuja kujitangaza na kuuza bidhaa zao.

Angalia video hii fupi ya walemavu wa macho na walio wazima wakionyesha na kuzungumzia bidhaa zao na inabidi kuwaunga mkono kwani Tamsha linakaribia kuisha na leo ni siku ya mwisho, kwa wale tuliopo majumbani inabidi tusogee kwa pamoja kuja kushuhudia kinachoendele katika Tamasha la jinsia 2017 Mabibo Dar es salaam.

                                           KUANGALIA VIDEO BONYEZA HAPA ...

                       

No comments: