Imekua desturi ya watu kununua simu kutokana na sababu
mbalimbali ikiwemo specification, bei na uwezo wa simu husika. Inaafahamika
kuwa watu wengi huamasishwa na rafiki na watu wa karabu au hata kampuni kuweza
kununua simu flani.
Mnamo mwezi wa 10/22/2017 tulizindua simu mpya nchini Dubai.
Phantom 8 ni muendelezo wat oleo la Phntom ambalo tulizindua pia mwaka jana
miezi kama hii. Kwa wadau au waganei unaweza ukawa unajiuliza ni kwanini
ninunue Phantom 8 na sio simu nyingine!
Simu haiwi simu kama haitokidhi mahitaji ya mtumiaji, hivyo
kwa toleo hili tulihakikisha kua mtumiaji wasimu yetu ya Phantom 8 anapata yale
yaliyo ya msingi na Zaidi. Hivyo sababu kuu ya kuwa na Phantom 8 ni pamoja na;
CAMERA
Camera ya simu ya Phantom 8 ni Zaidi camera ya kwaida, kwani
imetengenezwa kw austadi na umakini kuweza kukupa mtumiaji fahari na furaha
wakati wa kupiga picha. Inafahamika kuwa watu wengi hutuia simu zao kukamata
matukia mbali mbali ikiwemo picha na video, na pindi unapata simu ambayo camera
yake ni hafifu,basi bila shaka mtumiaji hukosa kujiami, (kulingana na
utandawazi wa makuaji ya mitandao ya kijamii). TECNO Phantom 8 inauwezo wa 20MP
camera ya mbele na 12MP + 13 MP camera pacha kwa nyuma hivyo kukupa uhalisia wa
picha kama “Jicho” linavyoona.
NETWORK
Mtandao au “network” ni jambo la msingi kwenye simu,haswa
simu janja “smartphone”. Simu zingine zote amabazo tumeshawahi kutoa zimekuwa
na uwezo wa 4G kumpata mtumiaji wepesi wa matumizi ya kimtandao. Phantom 8
inasapoti teknolojia mpya kabisa aina ya 4G Plus (+). 4G Plus ni teknolojia
mabayo inakuweza kupata huduma za kimtandao popote pale dunia, ndani ya Zaidi
nchi 200 duniani kote, hivyo kuifanya Phantom 8 kuwa simu ya kipekee Zaidi.
DESIGN
Design ya Phantom 8 si ya kawaida kwani imeundwa na madini
mithili ya Almasi. Phantom 8 ukiitazama hukupa hisia ya kama umebeba almasi
mkononi, inang’aa, ni laini kwa mguso na pia kuoneka kama lulu humulikwapo na
miyonzi ya juu. Mpaka hapo tu ni sababu tosha kumiliki Phantom 8!
STORAGE
Uwezo wa simu kuhifadhi “Data” ni jambo la muhimu kwa
watumiaji. Tililiwaza na kulitilia maanani swala zima la “storage” hivyo kuipa
uwezo wa 6GB RAM na 64GB ROM kuumpa mtumiaji nafasi ya kutosha kufanya mambo
yake kwa uwepesi na furaha!
REFOCUS
Simu nyingi zinauwezo wa kupiga picha lakini sio kwa ustadi
wa hali ya juu. Kwenye Phantom 8 kuna mfumo/tekolojia kwenye Camera unaoitwa
REFOCUS. REFOCUS inakuwezesha kupiga picha kitu kimoja na sio kingine. Kwa
mfano unapiga picha ya UA kwa ukaribu, REFOCUS itazinagtia tu kwenye UA na sio
vitu vingine pemebeni au nyuma yake hivyo kuFOCUS tu kwenye kitu husika.
SUPER ZOOM
Phantom 8 inauwezo wa kuvuta picha karibu mara 10 zaidi
kuliko simu zingine zote! Hivyo ni jambo ambalo utakufanya wewe mtuamiji kuweza
kupata matukio vizuri na bila wasi wasi.
SIZE
Ukilinganisha na simu nyinge phantom 8 imekuwa nyembamba
zaidi kulinganisha na simu zingine ikiwemo toleo la awali la Phantom 6 na
Pahntom 6 Plus. Simu ikiwa nyembamba hukuondolea mzigo na pia inakua rahisi
kuishika kiganjani. HivyoPhantom 8 ni simu inayokufaha haswa kama simu yako
ndio sehemu kubwa ya maisha kwa karne hii. Huitaji mzigo tena!
No comments:
Post a Comment